Mama yangu ana uvimbe usio na maumivu kwenye ziwa lake.hospitali wanasema hormone imbalance. Jamani naogopa sana nisaidieni inaweza kuwa nini? Nipo arusha nataka nianze kumtibia nianze wapi?
me nakushauri kuhangaika hospitalini mana humu sizani kama utapata jibu la uhakika, kama hospitali uliyompeleka hujaridhika na majibu, nenda nyingine na nyingine mpaka ujiridhishe na majibu yao njoo hata huku dar