Hivi inawezekana mwanamama,akawa anableed lakini katika mzunguko hamna kupevuka kwa yai yaani ovulation inayotokea.Nasema hivi kwa sababu mke wangu anableed kama kawaida,ila katika kipindi chote cha mzunguko hasikii chochote kama yai limetoka,matiti hayaumi,hamna ute wowote n.k.Tumejaribu sana kutafuta mtoto hatupati.Please msaada wenu wa maelezo