Msaada wa Haraka wakuu

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Hivi inawezekana mwanamama,akawa anableed lakini katika mzunguko hamna kupevuka kwa yai yaani ovulation inayotokea.Nasema hivi kwa sababu mke wangu anableed kama kawaida,ila katika kipindi chote cha mzunguko hasikii chochote kama yai limetoka,matiti hayaumi,hamna ute wowote n.k.Tumejaribu sana kutafuta mtoto hatupati.Please msaada wenu wa maelezo
 
Watakuja tu kukutatulia tatizo lako wapo Watu8, Maubero,Bubu msemaovyo na Mzizimkavu ingawaje naona yupo bize kidogo na wengine
 
Sio kila mwezi yai hupevushwa,hivyo inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…