Msaada wa haraka wakuu

TOFU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
573
Reaction score
196
Mimi nidereva wa kampuni nilioajiriwa..
Hufanyishwa Kazi nyingi tofauti na Kazi yangu ya udereva na kwamalipo Yale Yale...!!
Swali langu ni Jeh Sheria inambana vipi muekezaji kama Uyu...!!!?
 
fanya kazi tu zile zilizoainishwa kwenye mkataba wako wa ajira,ukifanya kazi nje ya mkataba wako unakuwa umejibebesha mzigo ambao huwezi lipwa na m2
 
ukiusoma vizuri mkataba wako wa kazi unaonyesha wazi kuwa utakua DEREVA na utafanya kazi ya udereva pamoja na kazi NYINGINE utakazopangiwa na Boss wako
 
ukiusoma vizuri mkataba wako wa kazi unaonyesha wazi kuwa utakua DEREVA na utafanya kazi ya udereva pamoja na kazi NYINGINE utakazopangiwa na Boss wako
watu wengi hukisahau hiki kifungu cha .. na kazi nyingine utakazo pangiwa na boss wako!!!!!!
 
Inategemea na mkataba wako unasemaje..ila kutekeleza any rightful order ya mwajili wako..lasivyo utafukuzwa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…