Msaada wa haraka wakuu!!

JJ10

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
282
Reaction score
133
Habari za jumapili nduguzangu!

Kuna hali inatokea kwakichanga wangu ambayo sijawahi kuiona kwa watoto waliomtangulia!.

Nikwamba mtoto ni wakike na leo anatimiza siku ya tano'' sasa kitu kinachonitia hofu nikwamba huwa kuna mda akikojoa anavyobadilishwa vinguo kunakuwa na damu kwenye njia yake ya mkojo au ukeni!! Hii ni nini na inasabishwa na nini? Na nichukue hatua gani ili kuiepusha hiyo hali?

Msaada wenu tafadhali!
Asanteni!
 
mkuu fanya hima umpeleke hospital ya karibu!
 
Asante mkuu!!
 
Mkuu Kagame' MP ninini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…