Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanna jf nina ndugu ameathirika Leo asubuhi amekuja Kwangu nilivyo muona amebadilika ametokwa na upele.
Msaada naoutaka ni sabuni gani na mafuta ambayo anaweza tumia akakausha upele.
hospital kwanza, kaangalie daktari atashauri nini
Eti ndugu Mimi Niko Tegeta ni hospital gani nzuri naweza mpeleka
Kiongozi ina maana ulishindwa hata kumpatia msaada wowote hadi kuamua kumuanika hapa jamvini? Hudhani huu ni unyanyapaa mambo leo?