mitishamba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 697
- 111
Sasa wewe unataka kuacha pombe ili iweje??? (Hapa najua madongo yatakuja kibao)
Hebu kunywa kwa kiasi sio kulewa halafu unawahi kurudi home
muombe mungu ATAKUPA NJIA
tatizo niko addicted na kileoAnza kunywa MALTA za Bakhressa, zina ladha kama ya Pombe, naona zitakufariji kidogo....................LOL
Sasa wewe unataka kuacha pombe ili iweje??? (Hapa najua madongo yatakuja kibao)
Hebu kunywa kwa kiasi sio kulewa halafu unawahi kurudi home
sibagui wala sichagui, chochote kitakachotokeaKwanza unatumia kilevi gani? bia,whisky au maisha plus?
mimi nakushauri uachane na marafiki wanywaji,sibagui wala sichagui, chochote kitakachotokea
anza kunywa mnazi
nashukuru kwa ushauri, japo hayo yote nimeshajaribu sana kufanya lakini unakuta navumilia hadi saa mbili usiku najikuta nasogelea kilajimimi nakushauri uachane na marafiki wanywaji,
pili tafuta marafiki ambao hawatumii pombe,
Uwe na vitu vya kufanya ili uwe busy, kama waweza unaweza kutafuta coz ya kujiendeleza ambayo itakufanya uwe busy.
maombi yenu pia yanahitajikamuombe mungu ATAKUPA NJIA
nielekeze mkuu inapatikana wapi?mimi nashauri atumie mitishamba......
nielekeze mkuu inapatikana wapi?
ushauri nimeupenda sana huu.