sibagui wala sichagui, chochote kitakachotokea
Kama uko Dar, nilisikia pale Bahai Center huwa wanaendesha program za AA na SLAA, unaweza kupitia hapo kusikia program zao zikoje.
AA = Alcohol Anonymous
SLAA = Sex and Love Addicts Anonymous
Kama uko Dar, nilisikia pale Bahai Center huwa wanaendesha program za AA na SLAA, unaweza kupitia hapo kusikia program zao zikoje.
AA = Alcohol Anonymous
SLAA = Sex and Love Addicts Anonymous
tatizo nikishakunywa moja ndo nakuwa nimefunguliaLol, anza kupunguza kiwango cha unywaji....Kama unakunywa bia 10 kwa siku punguza nusu lita kwa siku,kama ni whisky punguza robo lita kwa siku halafu kwa maisha plus endelea kutumia for your own risk.
tena mara nyingi nikichoka ndo nakua na kiu kikali.Ule muda wa kinywaji nenda kafanye mazoezi na kwa kuwa unatarejea ukiwa umechoka basi utafika home na kulala kiasi kwamba ukiweza fanya one week utakuwa umesahau pombe
tatizo sio kuacha aina fulani ya pombe bali kuacha pombe.kunywa BANANA...hutumii pesa mingi ila unalewa fasta