Msaada wa Haraka Wanajamvi

Msaada wa Haraka Wanajamvi

jenereta

Senior Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
146
Reaction score
40
Samahani wanajamvi, mimi ni mwalimu, nimeomba kubadilisha kituo cha kazi (kuhama kwa kubadilishana). Sasa naomba msaada, nani ana details za TAMISEMI coz mpaka dakika hii hawajatoa vibali, na kwenye net hamna? hii sio kawaida yao. Nisaidieni jamani.
RAMADHAN KAREEM
 
mwisho wa kupokea barua tamisemi ilikua tarehe 15/06/2013 kama barua zako zilishaenda tamisemi vuta subira kijana
 
mwisho wa kupokea barua tamisemi ilikua tarehe 15/06/2013 kama barua zako zilishaenda tamisemi vuta subira kijana

Yap, zilienda kabla ya trh hiyo. Nimeuliza coz sio kawaida yao kuchelewesha, hata hivyo, navuta subira ndugu yangu
 
Back
Top Bottom