Samahani wanajamvi, mimi ni mwalimu, nimeomba kubadilisha kituo cha kazi (kuhama kwa kubadilishana). Sasa naomba msaada, nani ana details za TAMISEMI coz mpaka dakika hii hawajatoa vibali, na kwenye net hamna? hii sio kawaida yao. Nisaidieni jamani.
RAMADHAN KAREEM