tandoor
Senior Member
- Jun 10, 2016
- 170
- 128
Salaam wakuu
Mimi ni mjamzito wa miezi mitano,tatizo nililonalo nasumbuliwa na jino sana nadhani wengi tunajuwa jino jinsi gani linauma.
Sasa jana nkamwambia ndugu yangu fulani azimio langu la kwenda kulitoa,jibu alilionipa ni kwamba nisithubutu kutoa jino kwa hali hii nlookuwa nayo kwani itaniletea madhara makubwa,akanitolea na mfano kuhus ndugu yetu mmoja ambaye alipata shida mbalimbali na kuniambia3chanzo kikuu kilikuwa ni jino
Swali langu kwenu
Je ni kweli kuna hiyo situation?
'