Sawa asante....kama ni msongo wa mawazo inabid apate psychologist auUsiogope mpeleke hospital! Na yeye sio kichaa ni msongamano wa mawazo tu! Na uwe karibu naye asije akajidhuru au kumdhuru mtu mwingine...nenda sasa hivi! Mola akutangulie!
NdiyoSawa asante....kama ni msongo wa mawazo inabid apate psychologist au
SawaNdiyo
kama ni chronic stress sindano itamsaidia?Mpeleke hospital yeyote inaweza kuwa ni depression tu! Msongo wa mawazo! Akichomwa sindano ya kulala anaweza kuamka mzima kabisa!
Mkuu kama kuna hospital ya mkoa hapo Arusha(najua ipo),nenda ukapate Huduma hapo. Kuna watalaamu wa magonjwa ya akili hapo(psychotricist). Kama hawapo watakupa rufaa nadhani IPO pia hapo Arushambona kimya madocta nisaidieni
Maelezo niliyokupa ndiyo utayapata kutoka kwa wengine. Vinginevo utachelewa bure kumpeleka hospmbona kimya madocta nisaidieni
Sawa asanteMaelezo niliyokupa ndiyo utayapata kutoka kwa wengine. Vinginevo utachelewa bure kumpeleka hosp