Msaada wa haraka

Ngoswe11

Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
87
Reaction score
24
Wakuu nisaidieni hii: Walimu wa kiume kwa kiingereza ninaandikaje wakuu?? is it male techers? or the male teachers? or .......... plse help me!
 
Wakuu nisaidieni hii: Walimu wa kiume kwa kiingereza ninaandikaje wakuu?? is it male techers? or the male teachers? or .......... plse help me!
Uko darasa la ngapi? Natumaini huna allergy na dictionary.
 
Lugha hiyo ilikuja na meli kaka sio kwa mbio za mwenge, kama hauijui. "Andika kwa kiswahili watakuelewa".
 
Wakuu nisaidieni hii: Walimu wa kiume kwa kiingereza ninaandikaje wakuu?? is it male techers? or the male teachers? or .......... plse help me!

Kweeli wewe Ngoswe! Unaandika composition?
Swali lako halina jibu la hapo kwa hapo kwani unaweza kusema vyote kulingana na unachokizungumzia na maelezo yaliyotangulia sentensi hiyo. Nakushauri rudi darasani ukajifunze matumizi ya articles (au niseme ukiwa darasani muulize mwalimu wako-maana kwa swali hili inaonekana uko form 1 au 2). Ukijifunza "articles" itakusaidia kujua wapi unasema "a male teacher", "the male teacher" au "male teachers", "the male teachers" etc.

Ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Swali lako lina ukakasi sana japo "nimejibu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…