ContentCreator
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 151
- 231
Sbr waamkeWakuu njooni mtoe ushauri hapa
Wakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha.
Kuna kazi fulani nafanya nalipwa zaidi ya Milioni 1 kwa mwezi je niachane nayo niende law school au niendelee na hiyo kazi. Na isitoshe hiyo kazi inategemea mda mwingi niwe na computer na simu mda mwingi.
Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Ahsanteni
Duhh. Kazi kweliWakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha.
Kuna kazi fulani nafanya nalipwa zaidi ya Milioni 1 kwa mwezi je niachane nayo niende law school au niendelee na hiyo kazi. Na isitoshe hiyo kazi inategemea mda mwingi niwe na computer na simu mda mwingi.
Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Ahsanteni [emoji120]
Umetupa ugumu kukushauri. Maana umelinganisha vitu vi2 ambavyo ni tofauti. Ulipomba kwenda law school lengo ilikuwa nini. Labda tuanzie hapoDuhh. Kazi kweli
Tengeneza maokoto kwanza elimu haina mwishoWakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha.
Kuna kazi fulani nafanya nalipwa zaidi ya Milioni 1 kwa mwezi je niachane nayo niende law school au niendelee na hiyo kazi. Na isitoshe hiyo kazi inategemea mda mwingi niwe na computer na simu mda mwingi.
Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Ahsanteni [emoji120]
Nashukuru
Lengo niongeze vyanzo vya mapato. Lakini kazi zangu zinazoniingizia Milioni 1 kwa mwezi nafanyia kwenye computer na simu sasa hapa nawaza nitabalance vipi kazi hiyo na law school make hiyo kazi ndo inayoniingizia hiyo hela.Umetupa ugumu kukushauri. Maana umelinganisha vitu vi2 ambavyo ni tofauti. Ulipomba kwenda law school lengo ilikuwa nini. Labda tuanzie hapo
Nashukuru bossKama unesoma degree ya law, hujamaliza shule bila kupita law school. Jiulize unataka kuwa nani miaka 5, 10 ijayo? Je njia ipi inaweza kukufikisha hapo unapotaka kati ya hizi njia mbili..hiyo kazi au kwenda Law school?
Muhimu Jenga uchumi. Law school ni fifty fifty kuchomoka au kufeli. Nauzuri ipogo tuu Kila mwaka.Wakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha.
Kuna kazi fulani nafanya nalipwa zaidi ya Milioni 1 kwa mwezi je niachane nayo niende law school au niendelee na hiyo kazi. Na isitoshe hiyo kazi inategemea mda mwingi niwe na computer na simu mda mwingi.
Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Ahsanteni [emoji120]
Kama kwel umeshindwa decide katya hayo mawil hiv kwel ndugu hata hyo degree ya law uliipataje?Wakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha.
Kuna kazi fulani nafanya nalipwa zaidi ya Milioni 1 kwa mwezi je niachane nayo niende law school au niendelee na hiyo kazi. Na isitoshe hiyo kazi inategemea mda mwingi niwe na computer na simu mda mwingi.
Naombeni ushauri wenu wa mawazo. Ahsanteni [emoji120]
Bila shaka unafanya kazi za online. Tafuta mtu umfunze awe anafanya we unafanya kumlipa mshahara wakati ukiendelea na masomo. Note, usimwambie unapata kiasi gani ataingia tamaaWakuu habari zenu! Hope mu wazima wa afya. Nimekuja hapa kuomba ushauri. Kiufupi nimechaguliwa kwenda law school intake ya January mwaka huu ila bado Kuna kitu kinaniwazisha.