Msaada wa haraka

Habari ndugu zangu, mwenye mawasiliano ya malisa ,naomba anisaidie ,Kuna mtoto anachangamoto kubwa anahitaji msaada wa haraka,ni mlemavu

OK wanakuja Ila Kama hautafanikiwa kuipata namba Kwa haraka , unaweza kusema mtoto yupo wapi Kwa sasa ili tuone Kama shida yako inaweza kutaturika Kwa hatua za mwanzo .
 
OK wanakuja Ila Kama hautafanikiwa kuipata namba Kwa haraka , unaweza kusema mtoto yupo wapi Kwa sasa ili tuone Kama shida yako inaweza kutaturika Kwa hatua za mwanzo .
Mtoto yupo morogoro,Hana mguu mmoja, anatembelea gongo ,sasa anazidi kuumia ,anesimama hadi masomo haendi shule ,yupo darasa la nne, anaishi na babu na bibi yake tu
 
Mtoto yupo morogoro,Hana mguu mmoja, anatembelea gongo ,sasa anazidi kuumia ,anesimama hadi masomo haendi shule ,yupo darasa la nne, anaishi na babu na bibi yake tu
Chukua hizo namba huyo ni work mate wa Malisa GJ
 
Attachments

  • Screenshot_20250202-215208.png
    251.7 KB · Views: 2
Nilijua katekwa ili tuanze kuandika #FREE MTOTO MLEMAVU#

Kumbe anaumwa poleni wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…