Mkuu Invisible na wataalam wengine wa IT
Nimekuwa napigana vita na PC yangu kwa muda sasa na nataka kuweka security kubwa zaidi maana nimechoka na attacks za kila mara.
Mwanzoni nilikua natumia Norton ikaisha nikaweka AVG ingawa zilikua zinacoexist. Then Nikapata tatizo so kulitatua ilitakiwa niondoe norton baada ya battle ndefu la kuondoa Semantic Antivirus sasa nimefanikiwa. Bado tatizo limeendelea sasa nimenunua Anti virus Mpya na ni lazima niondoe AVG lakini imekataaa katu katu inanipa this msg Installer initialization failed due to following error:
naombeni msaada jinsi ya kuondoa hii kitu

Error: @AvgErrorCode_0x0253 %FILE% = "C:\Program Files\AVG\AVG8"
@AvgErrorCode_0x0020