Nunua extenal hdd case ili upate data zako.
Unaweza kufanya kosadogo ukapoteza kila kitu.
Au waone mafundi wataalam au mpm SHY kama upo dar.
Unamaanisha nini ukisema haidisplay chochote? Inaonyesha blue screen? Au monitor ipo kama haijawashwa? Tunaomba ufafanuzi mkuu.
Nunua extenal hdd case ili upate data zako.
Unaweza kufanya kosadogo ukapoteza kila kitu.
Au waone mafundi wataalam au mpm SHY kama upo dar.
kama ni ya china pole kaka. try backing up your important files