Msaada wa haraka

Msaada wa haraka

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,149
Reaction score
3,209
Leo usiku majira ya saa tatu nimemeza dawa ya malaria aina ya malafin baada ya muda kidogo baadhi ya sehemu za mwili zinawasha haswa . Najikuna balaa . Nimembiwa ni kuwa hiyo dawa ina sulfur na haiendani na mwili wangu(nina alergy na sulfur) Wakuu naomba msaada wa kuikata nguvu hii dawa kabla haijaniletea madhara zaidi .na vile vile kuondoa huu muwasho . Natanguliza shukrani zangu.
 
Wakuu hali inazidi kuwa mbaya muwasho unazidi kuongezeka tafadhali mwenye mdaada wa nini chakufanya anisaidie .asante
 
[h=3]How Are Drug Allergies Treated?[/h]The primary goal when treating an allergic drug reaction is symptom relief. Symptoms such as rash, hives, and itching can often be controlled with antihistamines, and occasionally corticosteroids.
For coughing and lung congestion, drugs called bronchodilators may be prescribed to widen the airways. For more serious anaphylactic symptoms -- life-threatening allergic reactions including difficulty breathing or loss of consciousness -- epinephrine may be given.

Occasionally, desensitization is used to treat a penicillin allergy or other drug allergy. This technique decreases your body's sensitivity to particular allergy-causing agents. Tiny amounts of penicillin are injected periodically in increasingly larger amounts until your immune system learns to tolerate the drug. There is a high risk of anaphylaxis associated with this procedure so desensitization is typically only reserved for patients with no other drug therapeutic options.
If you are severely allergic to certain antibiotics, there should be alternative antibiotics your doctor can prescribe.
 
Back
Top Bottom