Msaada wa haraka!

Mr Yes

Senior Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
153
Reaction score
29
Habari wana jf/doctor
Najua hii mada ishazungumziwa sana hapa,ila kutokana na yaliynikuta imenibidi nije niombe msaada.

Nina miaka 26+ nimekuwa addicted sana PUNYETO kias kwamba siwez kumudu tena tendo la ndoa.Juzi nilipata msichana nikaenda nae faragha,baada ya romance ile kuingia tu nikawa nimemaliza kzi na haikusimama tena kitu ambacho kilinifanya nipate mawazo mengi sana.Hii imenitokea mara ya nne sasa na niona lishakua tatizo kubwa sana.

Ndugu wana jf nahitaji msaada katika mambo yafutayo:-
a)Nahitaji kuacha kabisa hii kitu,ili niweze kurudi katika hali yangu, je nitumie njia gani?

b)Ni njia gani ninazoweza kutumia ili kurudisha nguvu zangu za asili?

Ndugu zangu hili ni jambo la serious sana,hapa nilipo nimekumbwa na msongo wa mawazo,mchango wenu ndio suluhisho la tatizo langu.

USHAURI
KWA WALE NDUGU ZANGU AMBAO BADO WANATUMIA PUNYETO NAWASHAURI WAACHE INA MADHARA MAKUBWA AMBAYO BAADAYE YANAWEZA KUKULETEA FEDHEHA KAMA MIMI.
 
Pole sana comrade,ngoja waje wataalamu naamini watakusaidia.
 
dahh!pole sna aisee mwnajamvi na maswahbu unayokumbna nayo ila suluhsho la hlo tatzo lako ni kupungza muda wa kukaa iiddle mda mref na kuondoa fikra potofu ktk akili yko na pia jitahd kuwa m2 wa kufnya mazoez sna naamin hyo itakusaidia kwa kiasi kikubwa
 

Pole, hakuna dawa. Labda sex change
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…