wana JF nina mtoto mdogo mwezi na nusu, hajapata choo (haja kubwa) siku ya nne sasa, wengine wanasema ni kawaida, je kuna uwezekano ikawa ni ugonjwa? naombeni msaada na ushauri wenu tafadhari.
Ikumbukwe kuwa hajaanzishiwa chochote zaidi ya maziwa ya mama.