Msaada wa haraka

Twoten

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Posts
2,052
Reaction score
2,163
Mtoto wangu ana miezi saba lakini kitovu hakijapona.Nilimpeleka hospitali,daktari akaniandikia dawa iitwayo SPAMCLOX na akanieleza nimkande mtoto kwenye kitovu kwa maji ya uvuguvugu yenye chumvi.Nimetumia dawa hiyo na maji hayo lakini mtoto hajapata nafuu.Naombeni msaada wenu nitumie dawa gani ili mtoto apone?
 
Hamna Kitu kinachotoka? Meaning pus? Rudi tena kwa Daktari ikiwezekana ubadili na hospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…