Msaada wa Hati ya Maelewano (Memorandum of Understanding)

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Wakuu habari,
Tunahitaji kuuza nyumba ya marehemu baba yetu iliyoko Mbeya. Nimeshauriwa kuandaa hati ya maelewano ambayo tutamia kusaini watoto wote ambao ni warithi wa hiyo nyumba. Nimejaribu kutafuta template mtandaoni, nimekosa. Naomba msaada kwa mwenye nayo, gharama za wanasheria siwezi kuzimudu kwakweli.
Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…