Msaada wa hatua za awali kuchukua unapohitaji kumiliki Gari

Msaada wa hatua za awali kuchukua unapohitaji kumiliki Gari

KulwaKapasi

New Member
Joined
Dec 6, 2024
Posts
4
Reaction score
4
Jamani naombe muongozo wa hatua za kuchukua napotaka kumiliki gari..!!

Ndio umeliki wangu wa kwanza kwa hatua ya gari. Ni kampuni ipi nzuri ya kuanzia, Toyota, Subaru au nyinginezo ambazo zijaziusisha hapo?

Kwa sisi tunaonunua Used...
 
Jamani naombe muongozo wa hatua za kuchukua napotaka kumiliki gari..!!
Ndio umeliki wangu wa kwanza kwa hatua ya gari...!!
Ni kampuni ipi nzuri ya kuanzia
Toyota
Subaru au nyinginezo ambazo zijaziusisha hapo?!
Kwa sisi Tunaonunua Used...
Mad Max mkuu, uwanja wako huu.
Njoo usaidie kudadavua hapa
 
Nakukumbusha tuu: Gari kumiloki au kulijua ukibwani waga lina wenge flani hivi mwanzoni. Ila badae utazowea mkuu
 
Mkuu swali too general. Ila kama brand Toyota hafu tulia hapo.
Mengine labda ungesema upo wapi, budget mwisho bei gani, unanunua kwa mtu au upo radhi kusubiria mieizi miwili ije na meli,
 
Inategemeana na kipato chako, hauwezi kumiliki Landcruiser Gxr mafuta tu kwa wiki 300,000 😀 angalia cc za kizalendo, zipo nyingi na kampuni zingatia spare parts zipatikane!
 
Mkuu swali too general. Ila kama brand Toyota hafu tulia hapo.
Mengine labda ungesema upo wapi, budget mwisho bei gani, unanunua kwa mtu au upo radhi kusubiria mieizi miwili ije na meli,
Kununua jwa mtu
Bajeti milion 8
Nipo dar
 
Inategemeana na kipato chako, hauwezi kumiliki Landcruiser Gxr mafuta tu kwa wiki 300,000 😀 angalia cc za kizalendo, zipo nyingi na kampuni zingatia spare parts zipatikane!
Mim n mfanyabiashara
Nipo dar
Bajeti milion 8
Cc sitaman ziendelee kuanzia 2000
Hua na safar za kusafir kwa mwez mar 1
 
Back
Top Bottom