KulwaKapasi
New Member
- Dec 6, 2024
- 4
- 4
Mad Max mkuu, uwanja wako huu.Jamani naombe muongozo wa hatua za kuchukua napotaka kumiliki gari..!!
Ndio umeliki wangu wa kwanza kwa hatua ya gari...!!
Ni kampuni ipi nzuri ya kuanzia
Toyota
Subaru au nyinginezo ambazo zijaziusisha hapo?!
Kwa sisi Tunaonunua Used...
Nashukuru kwa TahadhariUwe makini sana ukishikishwa gari bovu utateseka sana
Kuna fala amekana chama kaoa, najua ramadhani ikiisha ndoa imeisha.
akija kuomba ushauri mchape makofi πKuna fala amekana chama kaoa, najua ramadhani ikiisha ndoa imeisha.
Kununua jwa mtuMkuu swali too general. Ila kama brand Toyota hafu tulia hapo.
Mengine labda ungesema upo wapi, budget mwisho bei gani, unanunua kwa mtu au upo radhi kusubiria mieizi miwili ije na meli,
Mim n mfanyabiasharaInategemeana na kipato chako, hauwezi kumiliki Landcruiser Gxr mafuta tu kwa wiki 300,000 π angalia cc za kizalendo, zipo nyingi na kampuni zingatia spare parts zipatikane!
Mil 8 tafuta mtu nunua kwake. Toyota kama IST, Corolla, Runx, nk. zinaweza kuwa kwenye iyo budget.Mim n mfanyabiashara
Nipo dar
Bajeti milion 8
Cc sitaman ziendelee kuanzia 2000
Hua na safar za kusafir kwa mwez mar 1