Msaada wa hatua za kuuza matunda soko la nje

kigogokizizi

Member
Joined
Mar 26, 2016
Posts
69
Reaction score
37
Habari zenu wakuu,
Nnimeanza na kupanda papai hybrid za miezi sita heka moja, baadae pasheni and etc. Kikubwa nahitaji kufika soko la nje, procedures za Tanzania na nchi za ughaibun kwa biashara za matunda zikoje?...nahitaji msaada kwenu wajuvi.

Pamoja tunaweza.
 
Anza na soko la ndani mkuu kama bado hujafanya hivo,,,

Biashara namna hii it needs moving like a baby step. Yaani uanze kulima tuu na soko la nje utashindwa maana lile mara nyingi linahitaji mzigo mwingi na upatikane pindi unapopungua uko sokoni.

Ushauri mzuri utaupata kwenye umoja wa vikundi vya wauzaji wa matunda kama vile embe, avocardo na banana ingia google search.
 
Habari zenu wakuu,
Nnimeanza na kupanda papai hybrid za miezi sita heka moja, baadae pasheni and etc. Kikubwa nahitaji kufika soko la nje, procedures za Tanzania na nchi za ughaibun kwa biashara za matunda zikoje?...nahitaji msaada kwenu wajuvi.

Pamoja tunaweza.
Hongera Mkuu kwa kilimo cha Mapapai, kwan na mm nataka nilime mapapai si mda mrefu sana, mkuu naomba uni pm.
 
Habari zenu wakuu,
Nnimeanza na kupanda papai hybrid za miezi sita heka moja, baadae pasheni and etc. Kikubwa nahitaji kufika soko la nje, procedures za Tanzania na nchi za ughaibun kwa biashara za matunda zikoje?...nahitaji msaada kwenu wajuvi.

Pamoja tunaweza.
Mkuu naomba mrejesho,vp mavuno na sokoni ilikuwaje
 
Wasiliana na TAHA ukiweza jiunge nao watakuunganisha na masoko.
 
Back
Top Bottom