Msaada wa helsb "No active account found with the given credentials"

Msaada wa helsb "No active account found with the given credentials"

slmnd

Member
Joined
Dec 12, 2023
Posts
46
Reaction score
83
Msaada Wana JF,
Nashindwa ku log in ktk helsb account kila nikiweka details zangu inakuja.

"No active account found with the given credentials"
 
Sijui kuna nini kinaendelea hata mimi nimeshindwa
 
Sijui kuna nini kinaendelea hata mimi nimeshindwa
Kuna mtu aliniambia nikamjaribia ktk simu yangu nimehangaika sana lakini wapi.
Nikaona nilete mada kwa wanufaika wa miaka hii system yenu ikoje.
Maana kipindi chetu haikuwa na shida
 
Jaribu kujisajili upya. Ikisema username yako ipo registered. Jaribu Ku Login tena. Ikigoma kuingia.
Click Forget Password. Badili Password halafu Login tena itakubali.
 
Jaribu kujisajili upya. Ikisema username yako ipo registered. Jaribu Ku Login tena. Ikigoma kuingia.
Click Forget Password. Badili Password halafu Login tena itakubali.
Yes amefanikiwa kujisajili upya , amelog in imekubali ,
LAKINI AMEKUTANA NA ISSUE INGINE YA (NO PENDING PAYMENT) alafu allocation yake Iko sawa TU
Na hakupata boom tangu chuo kifunguliwe
 
Back
Top Bottom