Kuna mtu aliniambia nikamjaribia ktk simu yangu nimehangaika sana lakini wapi.
Nikaona nilete mada kwa wanufaika wa miaka hii system yenu ikoje.
Maana kipindi chetu haikuwa na shida
Yes amefanikiwa kujisajili upya , amelog in imekubali ,
LAKINI AMEKUTANA NA ISSUE INGINE YA (NO PENDING PAYMENT) alafu allocation yake Iko sawa TU
Na hakupata boom tangu chuo kifunguliwe