Asante japo hii ipo kwenye mshale mafuta na sio kwenye odo-meter ya mshale wa speed. Huku inakotakiwa kuonekana taa full or deem iko sawa. Ukiangalia hii alama ni tofauti na ya taa zikiwa full, hii ina arrows mbili ya juu na nyingine ikielekea chiniHio ni alama ya kama umewasha taa za gari full nadhani tatzo litakuwa ni sensor imemis-behave. Ngoja wenye fani za hayo mambo waje
Hapo kwenye hiyo picha hiyo ya juu ni full, chini yake ni fog, chini yake ni alama ya taa za kawaida kuwakaNafikiri hizi zinatofautiana, bila shaka hii ndio ya full light mkuuView attachment 1217624
Mkuu hizi zinawaka na kuzima. Wacha nichukue ushauri wa kumleta fundi umeme kama nilivyoshauriwa hapa. Asanteni sanaKama mr. Mtui alivyosema hiyo ni alama ya fog lights, zile taa mbili za mbele chini kwenye bamper.
Angalia kama zinawaka ukiwasha taa, ukiweza kuzifanya zizime hiyo alama inatakiwa pia itoke
Sasa mkuu kama ni hivyo, hiyo alama ya fog ya pili kama ulivyosema inatofautiana na ile iliyonifanya kuanziasha uzi hapa. Ebu zirudie picha zote mbili uangalia kama unaweza kuona hapo kitu cha tofauti mkuuHapo kwenye hiyo picha hiyo ya juu ni full, chini yake ni fog, chini yake ni alama ya taa za kawaida kuwaka
Hio alama kwny gari yako inaonyesha Headlamp Levelling system warning symbol.Sasa mkuu kama ni hivyo, hiyo alama ya fog ya pili kama ulivyosema inatofautiana na ile iliyonifanya kuanziasha uzi hapa. Ebu zirudie picha zote mbili uangalia kama unaweza kuona hapo kitu cha tofauti mkuu
Hiyo taa ni tofauti kabisa na full au ile ya taa kuungua. Hiyo taa ipo kwenye HARRIER,ni sensor ya tairi za nyuma kukosa alignment au sensor kuungua lakini ni tair za nyuma. Muanzisha uzi,nenda kwa mafundi Umeme wa magari umwambie akuangalizie hiyo sensor naambiwa iko chini kabisa ya Toyota Harrier ni zile Old Model japo maarufu ni zile old za mwaka 2000,2001 na 2002 ambazo nyingi ni 2AZ-FE cc 2362 na siyo zile za Engine ya 5S, cc 2160!Sasa mkuu kama ni hivyo, hiyo alama ya fog ya pili kama ulivyosema inatofautiana na ile iliyonifanya kuanziasha uzi hapa. Ebu zirudie picha zote mbili uangalia kama unaweza kuona hapo kitu cha tofauti mkuu
Hapo sikuangalia vizuri mkuu hiyo ya orange ni range control.Sasa mkuu kama ni hivyo, hiyo alama ya fog ya pili kama ulivyosema inatofautiana na ile iliyonifanya kuanziasha uzi hapa. Ebu zirudie picha zote mbili uangalia kama unaweza kuona hapo kitu cha tofauti mkuu
Sio ukweli alama za hio 'adaptive light system' unayosema wewe ni tofauti na alama ya kwenye gari ya mtoa mada.Hiyo inaitwa "adaptive light dystem".
Huna haja ya kupeleka kwa fundi. Ni nzima hiyo inakuonesha inafanya kazi.
Tumia Google utapata majibu.
Ukweli ni upi?Sio ukweli alama za hio 'adaptive light system' unayosema wewe ni tofauti na alama ya kwenye gari ya mtoa mada.
Asante mkuu, ni kweli gari ni harrier, hii inaweza kuwa assumption sahihi. Wacha niifanyie kaziHiyo taa ni tofauti kabisa na full au ile ya taa kuungua. Hiyo taa ipo kwenye HARRIER,ni sensor ya tairi za nyuma kukosa alignment au sensor kuungua lakini ni tair za nyuma. Muanzisha uzi,nenda kwa mafundi Umeme wa magari umwambie akuangalizie hiyo sensor naambiwa iko chini kabisa ya Toyota Harrier ni zile Old Model japo maarufu ni zile old za mwaka 2000,2001 na 2002 ambazo nyingi ni 2AZ-FE cc 2362 na siyo zile za Engine ya 5S, cc 2160!