Msaada wa hili swala

Msaada wa hili swala

khami

Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
11
Reaction score
4
Tofaut ya "made in" "made by" katika bidhaa mbal mbal
 
Kwa ufahamu wangu, "Made in" inatambulisha mahali (sehemu) bidhaa ilipotengenezwa. Lakini "Made by" inatambulisha nani aliyetengeneza bidhaa hiyo. Yaweza ikawa mtu binafsi, kikundi ama shirika.
Asante.
 
Sahihi kabisaa hili jibu limekuwa
Made in Tanzania and
Made By Vivac
 
Back
Top Bottom