khami Member Joined Apr 20, 2014 Posts 11 Reaction score 4 Apr 12, 2016 #1 Tofaut ya "made in" "made by" katika bidhaa mbal mbal
Vivac JF-Expert Member Joined Apr 12, 2015 Posts 475 Reaction score 480 Apr 12, 2016 #2 Kwa ufahamu wangu, "Made in" inatambulisha mahali (sehemu) bidhaa ilipotengenezwa. Lakini "Made by" inatambulisha nani aliyetengeneza bidhaa hiyo. Yaweza ikawa mtu binafsi, kikundi ama shirika. Asante.
Kwa ufahamu wangu, "Made in" inatambulisha mahali (sehemu) bidhaa ilipotengenezwa. Lakini "Made by" inatambulisha nani aliyetengeneza bidhaa hiyo. Yaweza ikawa mtu binafsi, kikundi ama shirika. Asante.
khami Member Joined Apr 20, 2014 Posts 11 Reaction score 4 Apr 12, 2016 Thread starter #3 Asante sana pamoja
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,568 Reaction score 9,710 Apr 12, 2016 #5 Vivac said: Kwa ufahamu wangu, "Made in" inatambulisha mahali (sehemu) bidhaa ilipotengenezwa. Lakini "Made by" inatambulisha nani aliyetengeneza bidhaa hiyo. Yaweza ikawa mtu binafsi, kikundi ama shirika. Asante. Click to expand... Sahihi kabisaa hili jibu limekuwa Made in Tanzania and Made By Vivac
Vivac said: Kwa ufahamu wangu, "Made in" inatambulisha mahali (sehemu) bidhaa ilipotengenezwa. Lakini "Made by" inatambulisha nani aliyetengeneza bidhaa hiyo. Yaweza ikawa mtu binafsi, kikundi ama shirika. Asante. Click to expand... Sahihi kabisaa hili jibu limekuwa Made in Tanzania and Made By Vivac