Msaada wa historia ya maisha na kifo cha "Mbena Malumbi" kama sijakosea jina lake

Msaada wa historia ya maisha na kifo cha "Mbena Malumbi" kama sijakosea jina lake

Katkit

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
1,893
Reaction score
4,641
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo.

Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu kuwaomba mnijuze kwa mawanda mapana kuhusu bwana huyo.
 
Historia yake sijui sana, niliudhuria msiba wake kanisa la Kristo Mfalme Tabata. Niliyosikia Kanisani pale ni Alishambuliwa kwa Risasi kwenye mataa ya Uwanja wa ndege wa JKN Dar na watu waliokua kwenye pikpiki. Kazi yake ilikuwa ni FBI wa kibongo. Wahusika walipelekwa mahakamani, na sijui kesi iliendaje. Ana mali nyingi kuanzia Tabata, Chanika, Morogoro Mjini na kwingineko.
 
Huyo anaitwa mzeru umechanganya mambo
 
Anaitwa Silvanus Mzeru km sijakosea, ila Moro nzima wanamjua kwa jina la Mbena marumbi. Ile kichwa ilikuwa inajenga dabo dabo RIP tajiri.
Ohooo kwelii... anamajumba kibao,, alikua ananunua viwanja anajenga vingine hata ndugu zake sidhan kama walifahamu..
 
Back
Top Bottom