Huyo anaitwa mzeru umechanganya mamboHistoria yake sijui sana, niliudhuria msiba wake kanisa la Kristo Mfalme Tabata. Niliyosikia Kanisani pale ni Alishambuliwa kwa Risasi kwenye mataa ya Uwanja wa ndege wa JKN Dar na watu waliokua kwenye pikpiki. Kazi yake ilikuwa ni FBI wa kibongo. Wahusika walipelekwa mahakamani, na sijui kesi iliendaje. Ana mali nyingi kuanzia Tabata, Chanika, Morogoro Mjini na kwingineko.
Anaitwa Silvanus Mzeru km sijakosea, ila Moro nzima wanamjua kwa jina la Mbena marumbi. Ile kichwa ilikuwa inajenga dabo dabo RIP tajiri.Huyo anaitwa mzeru umechanganya mambo
Ohooo kwelii... anamajumba kibao,, alikua ananunua viwanja anajenga vingine hata ndugu zake sidhan kama walifahamu..Anaitwa Silvanus Mzeru km sijakosea, ila Moro nzima wanamjua kwa jina la Mbena marumbi. Ile kichwa ilikuwa inajenga dabo dabo RIP tajiri.