Msaada wa historia.

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
541
Ndugu, mwenye kujua historia anisaidie kujua mambo ya fuatayo kwa ufupi,

Hasa kama kuna causes, effects or archievements bila kusahau background za vitu vifuatavyo:-

I. Pan-Africanism movement
II. Civil right movement
III. Back to African Movement
IV. Cold war

Asanteni na MUNGU awabariki.
 
Mzee hiyo Pan Africa movement si utafte kitabu cha history cha frm 3/4 hivyo vingine ugoogle mkuu acha uvivu
 
Nenda google tu mkuu.
Nadhani hiyo ni history 2. Ukimaliza ukapata gamba lako usisahau kuishukuru google and all invented copy and paste.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…