Msaada wa hizi movie

Msaada wa hizi movie

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Kwema Wadau wangu mko poa, Natumaini wazima wote,

Oke. Wakuu mi naomba kuelezwa kama kuna mmoja wapo alishaona hizi movie sijui hiyo ya Will Smith ni series ata sielewi, kiufupi nijue zinahusu nini ndani ili niweze zipakua nikazicheck, maana nimekuja huko mjandala mara hizo mbili kama ya Tenet na Inception ni za kutumia akili sana, naomba mnijenge kisaikolojia ili nikiwa natazama niweze elewa.

MV5BMjAxMzY3NjcxNF5BMl5BanBnXkFtZTcwNTI5OTM0Mw@@._V1_.jpg
MV5BYzg0NGM2NjAtNmIxOC00MDJmLTg5ZmYtYzM0MTE4NWE2NzlhXkEyXkFqcGdeQXVyMTA4NjE0NjEy._V1_.jpg
MV5BYjcxZjE1NGUtNGU4OS00ZTIwLTkxN2MtNWExMGUxYTRhMzY5XkEyXkFqcGdeQXVyNTc4MjczMTM@._V1_UY1200_CR...jpg

Au nasema Uongo ndugu zangu 🤦🤪🏃
 
Bel air karudi tena? Jamaa 90's aliwahi kumuhoji Trump as next us president.
 
Hiyo movie ya Tenet ni funga kazi kwakweli.. Mimi movie au series yoyote inayohusu TIME TRAVEL huwa ni changamoto kwangu..

Japo napenda sana Sci - Fi movies and series maana huwa zina kuongezea kitu fulani katika mambo ya teknolojia inapoelekea.
 
Kwema Wadau wangu mko poa, Natumaini wazima wote,

Oke. Wakuu mi naomba kuelezwa kama kuna mmoja wapo alishaona hizi movie sijui hiyo ya Will Smith ni series ata sielewi, kiufupi nijue zinahusu nini ndani ili niweze zipakua nikazicheck, maana nimekuja huko mjandala mara hizo mbili kama ya Tenet na Inception ni za kutumia akili sana, naomba mnijenge kisaikolojia ili nikiwa natazama niweze elewa.

View attachment 1643873View attachment 1643875View attachment 1643876

Au nasema Uongo ndugu zangu [emoji1751][emoji2957][emoji125]
Uzuri wa C.Nolan ni dialogue... Akili mingi saana....
Inception niliiona 2009 lakini sikuilewa for the first time nikaipuuza...miaka kadhaa mbele nikacheki Vanilla Sky... halafu nikaambiwa niitafute inception hapo nikatuliza makalio nikaitizama na nikaanza kumpigia saluti Nolan....tangu hapo Nolan akitengeneza movie naicheki...hiyo tenet humo ndo kaua bila akili nyingi huwezi kuenjoy...inatakiwa utulivu kidogo...kuna action za future past na present halafu kuna wakati zina merge hahaaaa
 
Mchizi Nolan anajua sio poa mm sikuelewa nkaenda YouTube boom [emoji95] wakanipa some explanation nkarud tena nkaelewa
 
Tenet, inception, interstellar ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kweli kabisa.
Pia The Prestige na Memento.
Interstellar ingeweza kuwa the best movie of all time ila naona mwisho haukuwa poa sana.
Inception is perfect.
Kweli interstellar ilikua na mwisho rahisi sana,nakumbuka inception ilinipeleka cinema mara 2 na mara ya kwanza ilivyoisha iliniacha na maswali kama yote. Labda kutakua na part 2 yake
 
Back
Top Bottom