Msaada wa hospital Au laboratory

username1

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
267
Reaction score
253
Habari kama Kichwa kilivyo Naomba kujua hospital ya private Au laboratory ambayo naweza inaaminika Lakini gharama zake ni za Mtanzania wa kipato cha chini(kawaida)
 
Ooh kwa Dar es salaam Shukurani mkuu
 
SANITAS? Kwa vigezo vya ombi lake kuhusu gharama hapamfai. Nenda Mwananyamala hospital au Sinza Hospital.
 
SANITAS? Kwa vigezo vya ombi lake kuhusu gharama hapamfai. Nenda Mwananyamala hospital au Sinza Hospital.
Siyo ghali kama unavyo Fikiri, mwili wa binadamu ni utukufu, lazima tuutunze vizuri sana!
 
Naomba kujuzwa pia gharama za AGA KHAN hospital zikoje?
kwa anayefahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…