Nina mgonjwa wa saratani ya titi. Kwa kutambua kuwa India kuna hosp nyingi, ninaomba kufahamishwa hosp nzuri kwa matibabu ya saratani kwa kuzingatia wataalam, vifaa tiba na isiyo na ujanja ujanja.
Asante san kwa ushauri ndugu yangu. Nitawacheck pia Apollo. Kuhusu uwezo wa kipesa si mkubwa kama unavyoweza kudhani ni basi tu kuhangaika kutafuta kilicho bora.