Msaada wa hostel za master udsm

Msaada wa hostel za master udsm

Ptz

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
541
Reaction score
385
Jamani mimi nimechaguliwa udsm kwa master program na niko Sumbawanga nitapataje hostel kwa campus ya mlimani? Msaada please, joining nimepata regstration inaanza tar 17 Septemba.
 
Aiseee baba yangu ingekuwa vizuri umtafete mkandala au maboko nadhani ndio wausika
 
Masters UDSM huwa kuna hostel zao special nadhani na huwa hazina shida sana mkuu
 
Back
Top Bottom