mpambanaji1
Member
- Dec 31, 2013
- 36
- 39
Ikohapa kwa 220000Tsh.wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni
wapi nitaweza kupata hp
destop used yenye ubora mzuri with reasonable price
na ambayo haitakuja
kunisumbua!!
Mimi nipo Dar
mdau nenda pale kariakoo baada ya roundabout nyoosha kuelekea mnazi mmoja opposite kongo bus stand utaona maduka ya wasomali mengi ushindwe wewe!!wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni
wapi nitaweza kupata hp
destop used yenye ubora mzuri with reasonable price
na ambayo haitakuja
kunisumbua!!
Mimi nipo Dar
wakuu habari zenu??
Naomba kwa mwenye kujua ni
wapi nitaweza kupata hp
destop used yenye ubora mzuri with reasonable price
na ambayo haitakuja
kunisumbua!!
Mimi nipo Dar