Msaada wa huduma ya Alipay

mchumia tumbo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
1,458
Reaction score
471
Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uelewa,wapi naweza kupata huduma ya Alipay hapa Tanzania
 
Alipay ni mfumo wa malipo kama ilivyo Wechat payment au Paypal, ili kujiunga na au kuwa na account ya alipay inabidi utumie hati yako ya kusafirisha.

Huwezi kuwa account ya Alipay bila kuwa na Passport

Alipay ni mfumo wa malipo kutoka China
 
Asante sana Mkuu
 
Mlifanikiwa, kama bado mm pia natumia na nafanya malipo kwa suppliers
 
Ikiwa unataka kulipa kwa alipay nitafute

Muombe qr code ya kulipia then nitakupa thamani ya uuan 1 kwa sasa then nikulipie
 
Nafanya malipo kwa Suppliers wa China kwa Rate rafiki
Kwa mahitahi ya RMB (Yuan) utapata hapa
WhatsApp +8617822187403
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…