saidhafidh Senior Member Joined Apr 10, 2013 Posts 119 Reaction score 8 Mar 21, 2016 #1 Wakuu nilikuwa naulizia kama Tanzania kuna huduma ya Intracytoplasmic Sperm Injections? Kama ipo hospitali inayotoa huduma hiyo, tunaomba tujuulishwe pamoja na gharama zake hapa kwetu Tanzania.
Wakuu nilikuwa naulizia kama Tanzania kuna huduma ya Intracytoplasmic Sperm Injections? Kama ipo hospitali inayotoa huduma hiyo, tunaomba tujuulishwe pamoja na gharama zake hapa kwetu Tanzania.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 23, 2016 #2 Sikushauri ufanyie dar ndugu yangu.....utajuta (sio kwamba hakuna wanaofanikiwa ila bahati nasibu nyingi mno....hela yake ndefu sawa na kwenda nje tu) Kama una hela kafanyie india au zaidi sa
Sikushauri ufanyie dar ndugu yangu.....utajuta (sio kwamba hakuna wanaofanikiwa ila bahati nasibu nyingi mno....hela yake ndefu sawa na kwenda nje tu) Kama una hela kafanyie india au zaidi sa
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 24, 2016 #3 Ila kwa dar kacheki dar ivf..... ni women's clinic kwa dr sali kama sikosei....
saidhafidh Senior Member Joined Apr 10, 2013 Posts 119 Reaction score 8 Mar 24, 2016 Thread starter #4 BADILI TABIA said: Ila kwa dar kacheki dar ivf..... ni women's clinic kwa dr sali kama sikosei.... Click to expand... hio spital inaitwaje iko maeneo gan hapo dar na gharam yak ikoje
BADILI TABIA said: Ila kwa dar kacheki dar ivf..... ni women's clinic kwa dr sali kama sikosei.... Click to expand... hio spital inaitwaje iko maeneo gan hapo dar na gharam yak ikoje
ngalelefijo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2012 Posts 3,966 Reaction score 2,596 Mar 25, 2016 #5 ndio nini hii
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Mar 27, 2016 #6 saidhafidh said: hio spital inaitwaje iko maeneo gan hapo dar na gharam yak ikoje Click to expand... Kama sikosei wapo karibia na baraka plaza. Zamani ilikuwa $8000, ambayo ni total package. Ndio maana nakwambia kwa hela hiyo heri ukafanyie nje. Tafuta hospital ambayo success rate yake ni nzuri.
saidhafidh said: hio spital inaitwaje iko maeneo gan hapo dar na gharam yak ikoje Click to expand... Kama sikosei wapo karibia na baraka plaza. Zamani ilikuwa $8000, ambayo ni total package. Ndio maana nakwambia kwa hela hiyo heri ukafanyie nje. Tafuta hospital ambayo success rate yake ni nzuri.