Msaada wa huu ugonjwa

Msaada wa huu ugonjwa

Young Gwahe

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
53
Reaction score
163
Nina vipele vidogo vidogo kama vya joto, haviwashi, pia vina weupe kwa mbali huu ni ugonjwa gani na tiba Yake ni nn?? Naomba msaada
 
Nina vipele vidogo vidogo kama vya joto, haviwashi, pia vina weupe kwa mbali huu ni ugonjwa gani na tiba Yake ni nn?? Naomba msaada
Tupiamo kapicha basi tuone (joking).
Nenda kituo cha afya, inawezekana ni joto au mzio (allergy)...
 
either alergies au infections tu za kawaida kama sivyo basi ni damu yako hiyo,
ni vyema kwenda hospitali chief.
 
Back
Top Bottom