Young Gwahe
Member
- Sep 3, 2017
- 53
- 163
Tupiamo kapicha basi tuone (joking).Nina vipele vidogo vidogo kama vya joto, haviwashi, pia vina weupe kwa mbali huu ni ugonjwa gani na tiba Yake ni nn?? Naomba msaada
Ni alej inatokana na chakula au mafuta unayopataNina vipele vidogo vidogo kama vya joto, haviwashi, pia vina weupe kwa mbali huu ni ugonjwa gani na tiba Yake ni nn?? Naomba msaada
Mikononi na mgongoni sehemu ya mabegani, pia kifuanisehemu gani?