Msaada wa huyu mwenzangu please!!

alitegemea atatamkiwa neno ndoa, huyu binti nadhani alitegemea future na x wake kwa bahati mbaya akatendwa, anacheza kwa step sasa hv.


Kabisa hiyo kitu nakubali ni kweli ila ndoa bila kufahamiana?Lazima mjuane yaani nioe bila kumjua yupo vipi hivi kweli inawezekana?Lakini pia ni mawazo mazuri sasa inachobidi nijaribu kumuweka karibu tena..ila ndio naanza moja!
 
Dawa ya kuuchuna ni kumpotezea, tafuta kinanda hapo maeneo mnapoishi kula nacho good time kwa full kujiachia, kama ana nia nawe atajileta mwenyewe na kama hakupendi basi ataingia mitini moja kwa moja!

Thanks mkubwa nimekupata vizuri sana,ila mkuu ushauri wako nadhani utakuwa next step bila shaka maana mtu akiuchuna alafu wewe unajaribu kuwa nae karibu nia hasa ni nini?Nadhani nimekuelewa vizuri mkuu asante sana
 
Totoz za bongo hazina hizo, kwani huku kuna nini kaka? Mateso yote ya nini? Come home chukua jiko anza mbele ! Ughaibuni tuahangaikia dolari , euoro na paundi sio totoz!
 
Bwana mdogo huyo demu atakuumiza kichwa mpaka ushindwe kufanya vitu vya maana.

- Hapa inaonesha huyu demu alikuwa anakuelewa vingine na jinsi alivyokuja kukujua vizuri. Hiyo imemtoa hamu kabisa ya kuwa na wewe. Alikuwa anakuona na alikuwa anakutamani lakini jinsi ulivyo si vile yeye anavyotaka rafiki yake wa kiume awe na hayo amekuja kuyajua baada ya kuwa karibu na wewe kwa muda mfupi.

Kwa ushauri wangu achana naye. Alikuja kwako mwenyewe na kaondoka mwenyewe, kwanini upate shida?. Kumpenda isiwe shida, vumilia na utasahau na bila shaka atatokea mwenye kukupenda kama ulivyo.
 
Gonjwa la moyo hilo kama hana mtindio wa ubongo (step down immediately) tena mshukuru Mungu you never know!
 
Mimi nafikiri umeenda speed kuuubwa sana.....mademu wengi hawana shida katika kutoa tunda ili mradi pawe na maridhiano(hahaha!....wananchi msinimeze)!.

Chukua kama step mbili,tatu nyuma halafu msikilizie.Nachojua mimi kadiri attention kwake inavyokata ndo na yeye ataona anakuhitaji.Tatizo la wanawake bwana ikifika wakati kama huo ukiendelea kumpa attention yote hiyo anakuona huko so desparate na atakuchezea chezea.

Wewe take your time.....endelea kutafuta demu karatasi yaani mahela.Kama ulikuwa unatuma text moja kwa wiki hivi au mbili.....tena katika hizo text unaandika HI! and that's it.

Kama tayari ulishamtaka radhi nafikiri ni nafasi yake kukuangalia wakati anajaribu kurudisha moyo wake.I know it will work...yaani shaka ondoa.Ukiendelea kumsumbua na texts na calls nyingi ndo unaharibu kila kitu.

Halafu usikane kama ulikuwa unataka tunda yaani hapo ndo unapokosea.Yaani inabidi yeye mwenyewe kama mwanamke aje kukuambia kuwa hataki mambo sasa wewe unajikatalia utamu haraka haraka hivyo....vijana bwana???
 
Gonjwa la moyo hilo kama hana mtindio wa ubongo (step down immediately) tena mshukuru Mungu you never know!

Mmhh! Hilo nalo neno. Nadhani ndugu Papizo unaweza kulifanyia kazi. Ni kwasababu anajua anachokifanya!! Habahatishi.
 
Demu ana misi huyo (kama pajero ya xpin)..........tambaa, tulia ukirudi bongo utawakuta wa ukweli
 
Mwanaume na kuongezeka Umri.
Mwanaume anavyozidi kuongezeka umri huhitaji direct stimulation ya stick yake kuwa tayari kwa ajili ya sex kuliko kuitikia kwa kuona kama kawaida ya wanaume.

Hata hivyo kitendo hiki kuimarisha tendo zima la ndoa kati ya wanandoa kwani mke na mume wanavyozidi kuongezeka umri sasa wote huhitaji kuchezeana viungo vyao ili kuwa aroused na tayari kwa kupeana zawadi yao ya tendo la ndoa.


VIPI AGE YAKO NA YAKE KAKA....YAWEZEKAANA ALIKUPA SHUGULI IKAWA PEVU
 

Ndugu yangu, love comes naturally, sex, lust and all other ingredients follow the same path

Tutazunguka wee lakini in short huyo dada has no plans for you; wapo wengi hukataa kidodoma lakini huendelea na mahusiano na utaona they really care and in many cases they are even more possessive. At least basi angekuwa anawasiliana na wewe

Achana nae mazee, time is too short to waste on those who dont care!!
 
Looove stiiinks,

Mimi siwezi kukushauri ki lovey dovey kwa sababu si mtaalamu. UIla ma true player for real huwa wana equations zao..

Been in this game for years, it made me an animal,
There's rules to this game, I made me a manual

Notorious B.I.G (Ten Crack Commandments)

Let
a= time it will take to hit this nookie
b= time it will take to hit other potential nookies
c= opportunity cost of staying with this nookie and missing other nookies
d=desire to settle down (should a player be nearing the end of the game)

Then,
Let
a= time it will take to hit this nookie
b= time it will take to hit other potential nookies
c= opportunity cost of staying with this nookie and missing other nookies
d=desire to settle down with this nookie (should a player be nearing the end of the game)


Under ceteris paribus

If a > b and d < 50% then definitely jump ship and pursue other nookies
If a > b and d > 50% then prepare for a lenghty challenge that may offer a potentially rewarding matrimony
If b > a and d < 50% then hang on and you will soon hit this nookie player
If b > a and d > 50% then hang on and sacrifice even more you will soon hit this nookie and hang up the gloves
 


mtu yeyote anayemuelewa biggie
hatapata shida sana na wanawake au marafiki.
Bluray u made my day....
Kila nikisiliza ready to die,na life after death...
I fell nakuwa uplifted...
R.ip. Biggie small.
 


ushauri sahihi ni huu..
Umekuwa too nice kwake na hivyo..
Umeua kabisa atraction aliyokuwa nayo kabla..
Cha kufanya kuwa bize na ikiwezekana tafuta
mrembo mwingine na ujifanye umemsahau...
Kwa ufupi jifanye aghali kwake,
play the game.
 
wewe huwajui wa west?hapo anakuweka sawa akutengeneze chapa mwendo kabla ya hatari,yani wewe unakula mtego halafu unazubaa?shauri yako hamna penzi hapo ooh!
mi huwa nawashangaa sana wanaoumia vichwa na madem waafrika huku mamtoni,babu kama rangi madem weusi wako wengi,ingawa vicheche kupoozea si tatizo,ila kama ulikua unatafuta mke sawa lakini hata hapo kwa mgambia no,yaani karata unacheza vibaya kabisa nakuonea huruma ACHANA NAYE HUYO
 
Totoz za bongo hazina hizo, kwani huku kuna nini kaka? Mateso yote ya nini? Come home chukua jiko anza mbele ! Ughaibuni tuahangaikia dolari , euoro na paundi sio totoz!


Point takeni kaka na nimekupata hapo wala hamna shaka mkuu nitafanyia kazi maana naona kama nasumbuka bila mafanikio thanks mkubwa!
 

Thanks mkubwa kwa ushauri wako wa maana..Unajuwa nime mnote kwamba anataka tuishi tu sasa sielewi mapenzi ni ya aina gani hayo....ila nashukuru sana mkubwa....nitaachia ngazi maana siwezi kukaa nalazimisha..Thanks kaka na amani kwako!
 
Gonjwa la moyo hilo kama hana mtindio wa ubongo (step down immediately) tena mshukuru Mungu you never know!


Thanks sister kwa ushauri wako mzuri....Nadhani mpaka sasa nimepata ushauri mzuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…