mipangoMikubwa
Member
- Oct 24, 2019
- 34
- 32
asante mkuunakushauri uje na project itakayo fanya kazi kama masijara.
natumaini kama umewahi kwenda kwenye ofisi za serikali halmashauri au mkoani utaona jinsi mambo yanavyofanyika too local, nyakati nyingine unakuta kama ni barua au document wamepoteza au wanatumia muda mretu kuitafuta, so ukija na project ambayo itadigitize zote hapo utaweza kuiuza kwa government, japo kwa serikali yetu hii unaweza tumia muda mrefu kuwashawishi lakini italeta suluhusho zuri sana. ikiwa utakuwa interested naweza nikakusaidia ku plan features za kuwepi kwenye hiyo system
mkuu hii civil registration system umelenga nini mkuu?civil registration system
naomba japo hizo feature me nizichimbenakushauri uje na project itakayo fanya kazi kama masijara.
natumaini kama umewahi kwenda kwenye ofisi za serikali halmashauri au mkoani utaona jinsi mambo yanavyofanyika too local, nyakati nyingine unakuta kama ni barua au document wamepoteza au wanatumia muda mretu kuitafuta, so ukija na project ambayo itadigitize zote hapo utaweza kuiuza kwa government, japo kwa serikali yetu hii unaweza tumia muda mrefu kuwashawishi lakini italeta suluhusho zuri sana. ikiwa utakuwa interested naweza nikakusaidia ku plan features za kuwepi kwenye hiyo system
Hi, a great weekend to you too!hello za wekend wakuu,
Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina intelligency part ndan yake.
kwenu wakuu