Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Asiejua maana haambiwi maana. ....hua spendi kubishana.kisa imani....naamini kile ninachoamini upo mkaka! !??nawe amini unachoamini..coZ hakuna aliewah kufa akarudi kutupa ushuhuda kuhusu uislam au ukristo.Amani ya bwana iwe nasi. Kwa kiarabu ndio hua tunasema Asalaam aleykum.
Na jibu lake hua waaleykum Salaam yaaani Amani ya Mungu iwe nawe pia!
Vyema. Sasa hapo sijaelewa unamaana gani yaani ni miungu mitatu? Ama Mungu Mmoja? Na kama ni Mungu mmoja je nafsi ipi katika hizo tatu ina mamlaka zaidi ya zingine?
Mh.wewe amini kwamba iko correct,itakusaidia katika kuendelea kuamini katika pepo yako yenye pombe za mito.ila usipite unaandika hovyo hovyo bila research, maana ukionyeshwa inaweza kukupa tabu kidogo kichwani kwako.Mie naamini iko correct. Labda uelewa wako ndio unaweza kua hauko correct. So kabla hatujahamia huko nipe jibu kwanza je wewe unaamini biblia iko correct au imevurugwa? Na kama unaamini iko correct nipe maelezo hayo ya kifo cha yuda.
Ohh kumbe umekubali haiko correct? Okay nipe sababu ya kwanini tuamini kitabu ambacho hakiko correct? Yaani kitabu kilichovurugwa na watu?Mh.wewe amini kwamba iko correct,itakusaidia katika kuendelea kuamini katika pepo yako yenye pombe za mito.ila usipite unaandika hovyo hovyo bila research, maana ukionyeshwa inaweza kukupa tabu kidogo kichwani kwako.
Biblia haiko correct si kwa kuvurugwa, kama unavyotaka iwe.
Vyema. Sisi waislamu tunaamini hivi:Kuna kitu jamani inatkiwa kukielewa kuna mung baba,mng mwana na roho mtakatifu mi naamini hiv vit vitatu vinafanya kaz kwa pamoja so mng mwana bila yye hakuna kitakachofanyika na bila mng baba hivyo hivo na roho mtakatifu pia so ni kama binadamu ana roho,nafsi na mwli jamni bila mwli ww sio mtu bila roho hivyo na bila nafsi so lazima tujuwe hivyo ila kati ya vyote hivyo kuna kimoja ambacho ni mhim kuliko kingne ni kama kiongozi alie na madaraka zaid,so yesu ni mng pia,ndo maana bibliabilisema vyote vilifanyika kwake bila yy visingekuwepo,hapo ujuwe utatu mtakatifu upo pamoja na unafnya kazi kwa pamoja.
wee jaffar mbona unajua dini ya watu kuliko wenyewe wanavyoijua?Ohh kumbe umekubali haiko correct? Okay nipe sababu ya kwanini tuamini kitabu ambacho hakiko correct? Yaani kitabu kilichovurugwa na watu?
Umemaliza kusoma nilichokuandikia au unaendelea kudumisha sifa kuu ya waislamu, kukurupuka???Ohh kumbe umekubali haiko correct? Okay nipe sababu ya kwanini tuamini kitabu ambacho hakiko correct? Yaani kitabu kilichovurugwa na watu?
Vyema. Sisi waislamu tunaamini hivi:
Kuna Mungu kama Mungu. Yaani Mungu mwenyewe. MKUU kuliko wote.
Hili hata Yesu mwenyewe amekiri mara nyingi tu kwenye Biblia. Amesema BABA YANGU NI MKUU KULIKO MIMI. sasa sie waislamu Huyo Mungu wa Yesu, huyo mkuu kuliko Yesu ndio tunaemuabudu.
Pili umeongelea nafsi Tatu ila Mungu ni Mmoja. Je unafahamu kua Yesu Kuna Mambo ambayo hayajui ? Na kutokujua sio sifa ya Mungu. Hivyo Yesu hawezi kua Mungu wala Nafsi ya Mungu halikua kuna Mambo hayafahamu.
Tatu. Nyie mnaamini kua ukimkubali Yesu ndio Muokozi basi hiyo ndio njia ya Kupata Ufalme. JE wanadamu ambao waliishi kabla ya Ujio wa Yesu hukumu Yao ni Nini? Maana ukombozi huo mnaouamini ulitakiwa utangazwe kuanzia kuumbwa kwa Adam.
Maneno mengi ya nini? Ipo correct ama haipo correct.Umemaliza kusoma nilichokuandikia au unaendelea kudumisha sifa kuu ya waislamu, kukurupuka???
One simple question my dear Friend.He could be thirsty because He was fully Human but He could walk on Water Because He was Fully God
Know Jesus Christ
Jesus came to earth to do the Father’s will, but He also came to represent God so that we would know what it is like to have God with us. In Colossians, we read,
“He (Jesus) is the image of the invisible God ….”
Colossians 1:15
In Hebrews,
“And He (Jesus) is the radiance of His glory and the exact representation of His nature ….”
Hebrews 1:3
And in John,
“In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God …. And the Word became flesh, and dwelt among us …. No one has seen God at any time; the only begotten God who is in the bosom of the Father, He has explained Him.”
John 1:1, 14, 18
Jesus Christ is the very representation and likeness of God. He was sent to show us the beauty and majesty of the King. He did not make His debut on that first Christmas morning in Bethlehem because He existed before creation “in the beginning.” In fact, it was “through Him” that “all things were made.” (John 1:3) Even when we look back to the book of Genesis, we read that God said, “Let us make man in our image” (Genesis 1:26) referencing the presence of Christ.
The Word John speaks of as he opens his Gospel presentation is none other than Jesus Christ. We know this because later, in verse 14, John tells us,
Imagine the depth of that reality. The Word, who is God, came down to dwell among us.
Jesus walked among us. He was flesh, bones, sinew and blood, and yet He was also the perfection of the divine. At one moment He was hungry because He was fully human. The next moment, He miraculously fed 5,000 because He was fully God. He could be thirsty because He was fully human, but He could walk on water because He was fully God. Because Jesus was fully human, He could grow in knowledge, but because He was fully God He also knew what people were thinking. One moment Jesus agonized on a cross and died because He was fully human. Three days later, He rose from the grave because He was fully God.
We read,
“God was pleased to have all His fullness dwell in Him.”
Colossians 1:19
Without Immanuel – Jesus, we would have no chance of fully understanding God.
“No one has ever seen God, but the only begotten Son, who is at the Father’s side, has made Him known.”
John 1:18
How does God make Himself known? Through Jesus: God with us. To understand and know Jesus is to understand and know God.
NB; Those with teachable mind and spirit and those who real want to Know God in personal will Understand the above, but not those who are ready prepared with mere facts, intending to bring only arguments, as their final resolute.
Kama ni hivyo ulikua huna haja ya kuchangia chochote hapa. Ungepita tu kimya kimya.Asiejua maana haambiwi maana. ....hua spendi kubishana.kisa imani....naamini kile ninachoamini upo mkaka! !??nawe amini unachoamini..coZ hakuna aliewah kufa akarudi kutupa ushuhuda kuhusu uislam au ukristo.
Kubali tu hajui! Naye alikiri hajui, hata malaika mbinguni hawajui ila Baba pekee ndio anajua[emoji3] [emoji3] kwa hiyo unataka kusema Yesu alisema uongo kusema hajui?Hivi wewe kwa akili ya kawaida tu ulitaka akwambie siku ya hukumu au ufufuo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kabisaaa!!!! Lazima akwambie hajui ili uendelee kujiandaa kiukweli ukweli.
Hao wa kabla watahukumiwa kwa namna ya kutomtii Mungu,wewe utahukumiwa kwa kutoisikia habari kuu ya Yesu.
Maneno mengi ya nini? Ipo correct ama haipo correct.
Au ngoja nikuandikie uelewe.
Chagua Jibu sahihi na andika herufi ya jibu hilo kwenye mabano.
1. Je unaamini biblia ni correct na haina makosa
A. Ndio haina makosa.
B. Biblia inamakosa ( )
C. Naona aibu kujibu
D. Biblia ina ukweli na uongo
Yesu alisema uongo akijua anachokifanya.Kubali tu hajui! Naye alikiri hajui, hata malaika mbinguni hawajui ila Baba pekee ndio anajua[emoji3] [emoji3] kwa hiyo unataka kusema Yesu alisema uongo kusema hajui?
Neno la uzimaYeye alikuwako kwa baba, yeye alie uzima na nuru ya ulimwengu, yeye ndie mwana wa Mungu, pasipo yeye wala husingekuwepo uumbaji, vyote vimembwa kwa ajili yake, yeye ni mwana wa Mungu, yeye ni mtume wa Mungu, yeye ni nabii wa Mungu, yeye ni upatanisho wa njia ya haki, yeye mwenye nguvu ya Mungu, yeye aliezaliwa kwa roho matakatifu KATIKA kabila la yuda , MUNGU hawez kujitokeza uso kwa uso mbele ya binadam kama ilivikuwa kwa Adam, baada ya anguko la mwanadam Mungu akandaa mpango wa kuwakutanisha binadam na MUNGU, YESU alitakiwa azaliwe aishi kama sisi ili atakapo sulubiwa msalabani na kufa pia nakuzikwa azikwe na dhambi ya ulimwengu,akifufuka na nguvu ya Mungu
Yaani nimekubali wewe ni Zoba kweli kweli [emoji23] yaani Yesu wengine Mungu wao unamuita Muongo? Dah wewe noma kweliYesu alisema uongo akijua anachokifanya.
Kweli Yesu ni Mungu ambae ana Mungu wake Mkuu kuliko Yeye!Yesu ni Mungu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] zoba kuliko wote ni allah asiyeweza hata kufufuka.Yaani nimekubali wewe ni Zoba kweli kweli [emoji23] yaani Yesu wengine Mungu wao unamuita Muongo? Dah wewe noma kweli