Msaada wa Imani

Yapi unapingana nayo na na yapi unayakubali..........?nipe The bold
 
Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
Yeye ni Mungu aliyeshuka duniani kwa namna ya kibinadamu. roho wa Mungu mwenyewe alishuka na kuingia kwenye mwili wa mwanadamu ili awe mtu alipe garama ya dhambi zako na zangu kwa kuusulubisha mwili , alijifanya kufanana nasisi wenye miili kama huo wa kwako ili ayadhukue madhaifu yetu yote ya mwili na roho. kwahiyo, ni Mungu yuleyule katika nafsi ya roho iliyoingia kwenye mwili, hivyo ni Mungu. he came to proclaim the salvation message which you ought to accept NOW!

The salvation message is simple. We are and were separated from God because of sin. In our flesh is nothing is good, We are all sinners. God sent his only begotten son (we call him a son because he came and born a male human being, otherwise we would have called him a spirit) a sinless, perfect sacrifice to fulfill the law. Fully man yet fully God.

Jesus Christ died for your sins and took your place/punishment on the cross so you could be reconnected, otherwise each one of us would have to suffer punishment for the sins he commit, but now, sins are wiped away through Jesus Christ (Mwana wa Mungu anao uwezo wa kusamehe dhambi duniani). His blood washes you clean of all unrighteousness. You'll get to have a personal relationship with Jesus Christ. He took the wrath that we deserve and gave mankind a way to eternal life.

You have free will to accept the free gift of salvation or continue on the path to destruction/hell fire. God made the biggest sacrifice for you......

He's knocking, will you accept Jesus Christ? Between you and God, start by humbling yourself. With a heart wanting a changed life and all truth. Only God knows your heart and if you're genuine. Cry out to God in a broken repentant state and put your faith in Jesus Christ. then say these words:

"Heavenly Father, have mercy on me. I'm a sinner deserving of hell. I can't save myself. I want to turn from my past, I want a changed life and I know only you can help me. I put all my faith in Jesus Christ and his sacrifice and I pray for all truth no matter the cost. Please save me and lead me into all truth. In the name of Jesus Christ amen"

Luke 5:31-32King James Version (KJV) 31 And Jesus answering said unto them, They that are whole need not a physician; but they that are sick. 32 I came not to call the righteous, but sinners to repentance.
 
Heheheh hapo sasa [emoji23] [emoji23]
Yaani pesa alizitupa akaenda kujinyonga. Iko wazi baada tu ya kutupa hela akaenda akajinyonga. Sasa wale makuhani walinunua shamba hapo hapo? Na baada ya kulinunua wakamwambia Yuda aende kwenye lile shamba akajinyonge? Mbona unajikoroga boss?

YUDA ALINUNUA SHAMBA NA AKIWA KULE SHAMBANI ALIANGUKA AKAPASUKA

YUDA ALIZITUPA SHEKALI HEKALUNI AKAENDA AKAJINYONGA.

labda hujaelewa vizuri.[emoji23] [emoji23]
Nimeuliza pesa alizifanyia nini?
Alizitupa au alinunua shamba?

Usilete stori za watoto hapa kwamba wale makuhani ndio walimnunulia shamba [emoji23] sijui aliwaambia wamnunulie [emoji23] [emoji23]
 
..haupo serious,hili ni swali la nne nakujibu and u haven't Told me who the First Musilm was mpka sasa Ivi!!!
Nimeshakujibu landa husomi post zako. Nimekwambia Muislamu ni Mtu Ambae ana submit to the will of God. kila mitume waliokuja kueneza Ujumbe wa Mungu waliomuamini wanakua wameamini. Ndio maana hayo maandiko uliyoyawek yote yana zama tofauti na kila zama zilikua na watu wake wa kipindi kile ambao walikubali ujumbe huo. [emoji23] [emoji23]
 
Kazaliwa na mariam bila kupewa mimba na binadamu yeyote. Ipo kwenye kuruani. Sasa kama wewe muislam jiulize kuruani inasema baba yake nani?
Hebu nikuulize baba yake na Adam ni nani? Maana yeye hakuzaliwa kabisa . Kama unachukulia ukuu wa yesu kwa sababu ana mama na hana baba. Basi Adamu ni mkuu zaidi maana hana baba wala mama [emoji23]
 
Kama hata gazeti mtu anasoma na kuelewa nimekuuliza kwanini Mungu afanye biblia iwe ngumu? Au hataki watu wakafaulu? Maneno yako wazi na hayahitaji uelezewe acha kujichanganya.
 
Je unajua Yesu ana Mkuu wake? Ambae ana mamlaka kuliko yeye?
 
..haupo serious,hili ni swali la nne nakujibu and u haven't Told me who the First Musilm was mpka sasa Ivi!!!
Kama umepata post niliyokujibu then nipe sasa jibu kwanini unaingia kanisani na viatu je hilo sio eneo takatifu.
 
Ndio kitu cha pili kuexist baada ya Mungu! Au kwa lugha nyepesi isiyo rasmi twaweza kusema Mungu alimuumba kwanza kabla ya vitu vingine vyote ndio maana anaitwa "Mzaliwa wa Kwanza" wa viumbe vyote..
Kwahiyo tuseme Mungu alimuumba mwana wa Mungu
 
Yesu aliuliza wanafunzi wake swali hilo, Watu huko mtaani, wanasema mimi, ni nani? Na ni
 
..Mkuu Huelewi Fungu,baada Ya Yuda kujinyonga they purchaised the place baada ya yeye kujinyonga Mfano ukajinyongee shambani kwetu alafu sisi tuuze lile shamba kwa ukoo wenu kwa hela!
 
..kwaio Mkuu hamna wa kwanza si ndio???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko vizuri mkuu
 
Je unajua Yesu ana Mkuu wake? Ambae ana mamlaka kuliko yeye?
aliongea hayo kwa namna ya kibinadamu kipindi alichokuwa amevaa mwili wa mwanadamu (ila roho ya Mungu), mwanadamu ana sehemu kuu tatu, mwili nafsi na roho, na Mungu naye ana roho, nafsi, mwili hana ila kipindi kile alivaa mwili ili achukuliane na sisi tulio katika mwili. hivyo yesu kwasababu sasaivi hana mwili tena, ni Mungu yuleyule ndio maana alisema mimi na baba tu umoja yaani ni kama mwili mmoja tu katika roho. hivyo, kama ni swali kama hilo lako, ni sawa na kuniuliza kwamba "unajua moyo una mkuu wake mwingine aliye juu yake na aliye na mamlaka juu yake?//.....ambao sijui utasema ni akil au ubongo au chochote utakachoamua kusema. soma hayo niliyokuambia hapo juu, kama hautasoma, nyamaza kimya subiri jehanum. bye.
 
Kama hata gazeti mtu anasoma na kuelewa nimekuuliza kwanini Mungu afanye biblia iwe ngumu? Au hataki watu wakafaulu? Maneno yako wazi na hayahitaji uelezewe acha kujichanganya.
..we are sin oriented,nature Yetu ipo opposite na Mapenzi Ya Mungu henceforth our understanding too mfano unavyofikiria wewe thats why we need a mediator which is the Holy spirit that revealed and inspired the prophets to write what they wrote ILI kuyaelewa ILA maneno ya Mungu sio magumu
 
' maneno niliyowaamnia ni roho tena ni uzima'
Mungu ni roho na wamwabuduo halisi imewapasa kumwaabudu katika roho na kweli.

Uwaongoze katika ile kweli maana neno lako ndio kweli.
Yesu akasema mimi ndio NJIA, KWELI NA UZIMA..
Kwa maneno haya na mistari hii utaona sio tu kuisoma biblia kwakuwa tu imeandikwa kwa lugha uijuayo la hasha.Inasomwa kwa kuongozwa na roho yeye ndiye atoae tafsiri ya neno la Mungu.
Na mtu kuongozwa na roho ni lazima azaliwe kwa roho yaani kwa neno, hilo neno limbadilishe auvue utu wa kale azaliwe mara ya pili sio kwa mbegu iharibikayo bali isiyo haribika yaani neno la Mungu, kwa imani katika kristo sio kristu yaani AOKOLEWE NA SIO VINGINEVYO.
NA HII NDIO HATUA YA KWANZA KABLA YA MENGINE YOYOTE.

NJE YA HAPO UTAONA UGUMU KUSEMA YESU NI MUNGU, YESU MWANA WA MUNGU N.K
 
Kama umepata post niliyokujibu then nipe sasa jibu kwanini unaingia kanisani na viatu je hilo sio eneo takatifu.
eneo takatifu ni moyo kaka. mwili hauna utakatifu wowote, ndio maana una hadi kinyeshi kwenye mwili, hata ukioga vipi, utupu wako wa haja kubwa bado utanuka tu na huwa unaingia nao msikitini hivyohivyo (au huwa unaacha nje)...Mungu anaangalia moyo. haya mengine ya kuvaa vizuri etc ni principles za Godly morals alizotupatia ila ukisema usiingie kanisani na viatu ati utachafua hekalu/mahali pa kusalia,...ibada ipo moyoni. na moyo ndio chanzo cha uchafu wote unaouona duniani au uzuri wote unaouona duniani. ninyi mwafuata mwili na kutafuta Mungu kimwili ndio maana mmepotea na kupokea mafundisho ya uongo na ya kupotosha ambayo hauhitaji malaika atoke mbinguni akwambie ni ya kishetani, hata mtu asiyeenda shule ataelewa.

1. mnafuga majini, na kuita kuna majini mengine mazuri na mengine mabaya, wakati majini ni viumbe wachafu waliofukuzwa na Mungu, ni mashetani na maadui wa Mungu milele. hakuna shetani mzuri wala shetani mbaya.

2. mnaamini ukifa kwa jihad/kuchinja watu, utaenda kupata mabikira 72, unawaza kwenda kufanya ngono ahera. poleni.

3. mnachinja watu kwa jina la Mungu, wakati Mungu anasema kisasi ni changu mimi wala si cha mwanadamu. mtu akikukosea hauhitaji kurudisha kisasi, mwachie Mungu. huyo ndiye Mungu wa kweli.

4. vikundi vyooote vya kigaidi vinavyoua na kuchinja, ni vya kwetu.​

kuna mengi nitayasema hapa kama utakuwa bado na moyo mgumu. hayo ni machache, niwie radhi kama nimekukwaza...na ningependa ungeyajibu haya mambo manne kwa ufasaha kabla hatujaendelea.
 
Hebu nikuulize baba yake na Adam ni nani? Maana yeye hakuzaliwa kabisa . Kama unachukulia ukuu wa yesu kwa sababu ana mama na hana baba. Basi Adamu ni mkuu zaidi maana hana baba wala mama [emoji23]

Mimi nilikua na jiuliza tu kama swa la trinity of god/ utatu wa mungu. Ninavyofahamu utatu wa mungu unauhusiano na kuzaliwa bila mariam kuhusiana na mwanaume. Sasa sijui bibilia na kuruani inasemaje. Swala la nani mkuu naona tutatoka nje ya mjadala wa utatu maana kuna hatawanyama nao waliumbwa bila baba na mama na kuna mitume walikua na baba na mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…