Msaada wa IMEI simu ya HUAWEI Y5 PRIME

Lawrichie

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
825
Reaction score
2,340
Wakuu habari za humu. Ninaomba msaada wa namna ya kurudisha IMEI kwenye simu ya HUAWEI Y5 PRIME 2018. Kila nikiangalia inaonyesha null kwenye slot zote mbili...
 
2018 mkuu
Hyo ni mtk,, jarbu kwanza kutumia maui meta uone...ingia google search how to write imei with Maui meta...angalia hzo video kisha fanya naww
 
Hyo ni mtk,, jarbu kwanza kutumia maui meta uone...ingia google search how to write imei with Maui meta...angalia hzo video kisha fanya naww
Asante, ngoja nifanyie kazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…