Msaada wa intaneti kwenye simu yangu

Msaada wa intaneti kwenye simu yangu

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Yaani natumia mtandao wa tigo lakini nina bando 190mb lakini halisapoti chochote yaani hata sms au video halikubali nishafanya seting cm yangu lakini wapi, shida ni nini wadau?
 
Jaribu kukagua internet settings upande wa ccess point names kama ziko Sawa 🤒😎
 
Back
Top Bottom