Msaada wa jina helsb

Msaada wa jina helsb

Treyclindah

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6
Reaction score
12
Jaman samahani kwa usumbuf, naomba mniangalizie jina la mdg wang Stephen Mary plz nisaidien
 
Umeweza kuingia jf umeshindwa kuingia H.E.S.L.B majanga.
 
ha ha ha.,,
dah..kweli nikiingia JF siwezi kutoka bila kucheka.
kwanini usimtafute kwenye web ya HESLB?
Au huna net?ha ha ha
 
Washamba tuko wengi HESLB ni kitu gani? na inafanya nini?.....
 
Ok....nimegoogle kumbe ni Bodies ya mikopo kwa ajili ya Elimu ya juu.....Mnatupotezea muda banaa....sisi mambo yetu yalikuwa ya Warrants kila kitu....
 
Wandugu tupendane tuwe na huruma ,majibu mazuri tupeane,kwani hakuna mkamilifu wala mwenye akili zote zaidi ya mungu.hamuoni viongozi wetu wasomi tunaowategemea wakati mwingine wanakosea tena mjengoni!?
 
Nyie mnaacha kutafuta elimu kwa kusoma mnakaa kubishana na kuweka bifu za vyuo
 
Jamani ukingia kwenye heslb,kuna vibox vitatu,cha kwanda ni candidate type,je hy no ya form four inaweka vibox vyote au
 
Back
Top Bottom