Treyclindah
Member
- Jul 28, 2013
- 6
- 12
Wandugu tupendane tuwe na huruma ,majibu mazuri tupeane,kwani hakuna mkamilifu wala mwenye akili zote zaidi ya mungu.hamuoni viongozi wetu wasomi tunaowategemea wakati mwingine wanakosea tena mjengoni!?
kwel kaka
Siku hizi umekuwa mtoto mzuri bifu kwa TEKU tu.
bifu kwa teku na udom
Jamani ukingia kwenye heslb,kuna vibox vitatu,cha kwanda ni candidate type,je hy no ya form four inaweka vibox vyote au